Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: VIDEO:: MATONYA AFUNGUKA KULALA NA GIGY MONEY
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mkali wa single ya "Hakijaeleweka" msanii Matonya ameweza kuweka bayana Urafiki wake n...
Matonya na Gigy Money
Mkali wa single ya "Hakijaeleweka" msanii Matonya ameweza kuweka bayana Urafiki wake na Super Star Gigy Money na kufunguka kuwa wao hawana presha kabisa juu ya mapenzi yao kwani wanaweza kulala Kitanda kimoja na wasiweze kufanya chochote.

Matonya alieleza hayo alipokuwa akizungumza na Lindiyetu.com hivi Karibuni na kuweka wazi kuwa ameweza kumtumia Gigy Money kwenye Video yake ya wimbo huo wa #Hakijaeleweka.

Matonya amefunguka mengi Bofya Play.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top