Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: SHILOLE A.K.A SHISHI BABY AME-BREAK-INSTAGRAM KWA VIDEO YA FARAGHA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya wiki jana kuingia kwenye Headline ya Kuanzisha Biashara mpya ya Chakula ambayo ameipa j...
 Shilole
Baada ya wiki jana kuingia kwenye Headline ya Kuanzisha Biashara mpya ya Chakula ambayo ameipa jina "SHISHI FOOD DELIVER" Msanii wa Bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby ameingia kwenye Headlines kwa mara nyingine baada ya Video yake ya faragha kusambaa mtandaoni ikimuonesha akibusiana live bila Chenga na Mwanaume ambaye hatukuweza kufahamika jina lake.
 Shilole akidendeka
 Katika video hiyo Shilole anasikika akisema "I need you so Much" na bila hiana Mwanaume huyo akajibu "Come" na kumpatia bonge la Busu matata kwa wajuaji wa mambo wanaitaga "French Kiss"

Sitaki nikumalizie Uhondo we fanya Kubofya Picha hii chini kuicheki Video hiyo Live Bila ya Chenga.
 watch

*************

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top