Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: MADEE AAMUA KUVUNJA UKIMYA JUU YA KOLABO YAKE NA TEKNO (AUDIO)
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Hitmaker wa ngoma ya " Migulu pande" , "Vuvula" na "Pombe Yangu"  na...
Hitmaker wa ngoma ya "Migulu pande", "Vuvula" na "Pombe Yangu" namzungumzia Madee kutoka kundi la TipTop Connection ameamua kufunguka juu ya kolabo yake na Tekno ambayo aliahidi kuitoa muda mrefu.
Madee And Tekno
Akiongea na Lindiyetu.com, Madee aliamua kuweka wazi kuhusu mambo ambayo yamefanya kuchelewa kwa kolabo hiyo, Madee amefunguka na kusema kwamba jambo kubwa ambalo lilikwamisha ngoma hiyo ni video, kwamba wakati Tekno alikuwa anahitajika kwenye kushoot video ya wimbo huo alikuwa yuko mbali na Afrika kwenye tour zake lakini ngoma tayari imeshakamilika.

Sitaki nikuchoshe Msikilize hapa Akifunguka Lini ataachia kolabo hiyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top