Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: WEMA SEPETU AMWAGIA SIFA OMMY DIMPOZ, CHEKI VIDEO HII
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya hapo jana Ommy Dimpoz kufunguka kiundani kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM kwa ku...
Wema na Ommy Dimpoz
Baada ya hapo jana Ommy Dimpoz kufunguka kiundani kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM kwa kuelezea kilichopelekea akosane na rafiki yake wa zamani, Diamond PlatnumzWema Sepetu amempongeza kwa kile alichokifanya.

Malkia huyo wa filamu nchini, amempongeza hitmaker huyo wa Kajiandae kwa kumsifia kuwa ni mpole na mwenye busara ila alipenda kile alichokifanya kwenye mahojiano yake hayo.

Wema na Ommy Dimpoz
Kupitia mtandao wa Instagram, Wema ameandika.
Busara, Upole, Hekma… Thats wat u r made of… Im very very Proud and Impressed kwakweli… Mnyonge mnyongeni haki yaki mpeni… Sasa sio mje muanze kusema sijui napick sides… Nooooo…!!! Sina side maana na mimi pia ni outsider tu… But kwa leo nimependa ulichofanya Ommy…. Forever Bae… Sometimes being the bigger person doesnt hurt… @ommydimpoz
SIKILIZA FULL INTERVIEW HAPA CHINI

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top