Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: WEMA SEPETU AMPA PONGEZI DIAMOND PLATNUMZ HUKU AKIMPIGA DONGO HILI HAPA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Ukaribu wa mastaa Wema Sepetu na Diamond Platnumz unazidi kuzichukua Headlines kila siku. Ma...
Ukaribu wa mastaa Wema Sepetu na Diamond Platnumz unazidi kuzichukua Headlines kila siku.
Wema Sepetu
Mastaa hawa wamekuwa wakiweka post ambazo zimekuwa zikiongeza maswali kwa mashabiki ambao wanahoji sababu za wao kufanya hivyo wakati waliwahi kuwa kwenye ugomvi baada ya kuachana.

Leo November 7, 2016 Mrembo Wema Sepetu ameweka post ya kumpongeza Diamond Platnumz baada ya kushinda tuzo tatu za AFRIMA2016 zilizotolewa jijini Lagos, Nigeria usiku wa kuamkia leo.

Diamond Platnumz
Katika post hiyo Wema ameandika "Makofi matatu kwa Tuzo tatu... "Tanzania's Pride..." Sema picha hii Kali saaaaaaanaaaaa... Utasema sio wa Tandale... πŸ˜‚πŸ˜‚ (Sorry Bro)... Congrats once again...!!"

Post ya pongezi ya Wema Sepetu kwenda kwa Diamond Platnumz

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top