Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: WCB YALAMBA DILI LA ZAIDI YA BIL 2 KUTOKA KAMPUNI YA KIMAREKANI YA UNIVERSAL
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Kupitia kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds FM Radio msanii Diamond Platnumz ameweza kufungu...
Kupitia kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds FM Radio msanii Diamond Platnumz ameweza kufunguka mambo mengi sana yanayo husu label ya WCB.
WCB
Moja ya jambo aliloweka wazi ni kuhusu Dili walilolipata Label ya WCB ya kusimamiwa kazi zao za kimuziki na Kampuni kubwa ya Universal. kampuni hiyo itakuwa ikisambaza kazi za WCB kimataifa zaidi, Hii itakuwa ni fursa nzuri kwa Label hiyo kupenyeza muziki wa kibongo ki-International.

Katika Mkataba huo WCB imeweza kuingiza Dola za kimarekani Milioni Moja (karibia bilioni 2 fedha za kitanzania.).

Hebu msikilize hapa Diamond akifunguka mwenyewe katika hii Interview.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top