Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: U HEARD: NAY WA MITEGO NA KASHFA YA KUMBAKA MSANII MWENZAKE
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Stori zilianza wiki iliyopita ambapo Nisha msanii wa Bongo Movie   aliandika kuwa ana mimba ya mw...
Nay wa Mitego na Nisha
Stori zilianza wiki iliyopita ambapo Nisha msanii wa Bongo Movie aliandika kuwa ana mimba ya mwanaume ambaye waliachana muda mrefu na baadaye alirudi na kumbaka.

Wakati huo hakumtaja jina lake ila akasema ni msanii, kwa mujibu wa taarifa za Soudy Brown mhusika wa mimba hiyo ni Nay wa Mitego. Soudy Brown amepiga stori na Nay wa Mitego.

Bonyeza play hapa chini kusikiliza full Stori:

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top