Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: TANZIA: MBUNGE WA JIMBO LA DIMANI (CCM) AFARIKI DUNIA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mhe. Hafidh Ali Tahir Mhe. Spika anasikitika kuwatangazia kuwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la D...
Mhe. Hafidh Ali Tahir
Mhe. Hafidh Ali Tahir

Mhe. Spika anasikitika kuwatangazia kuwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Dimani(CCM), Zanzibar.

Mhe. Hafidh Ali Tahir amefariki dunia saa 9 alfajiri ya kuamkia leo katika Hospitali ya General hapa Dodoma.

Marehemu alizaliwa Oktoba 30, 1953 na aliwahi kuwa Mkuu wa Sauti ya Tanzania Zanzibar (1970-1978) na amekuwa mbunge tangu 2005 hadi mauti yanamkuta.

Taarifa zaidi kuhusu msiba huu zitatolewa hapo baadae.

Mhe. Spika anaungana na Wabunge wote katika kuomboleza msiba huu.
**************

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top