Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: "PALE KATI" YAKOLEZA BIFU LA Mr.T TOUCH NA NAY WA MITEGO
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Headlines za leo November 29 2016 Bongoflevani zinachukuliwa na wakali wawili Producer MrTee Touch...
Headlines za leo November 29 2016 Bongoflevani zinachukuliwa na wakali wawili Producer MrTee Touch ambaye anahusika kutengeza midundo ya Rapper Nay wa Mitego wameingia kwenye bifu, ripoti kutoka kwenye Uhead ya Clouds zinadai kuwa wakali hao wanagombea baadhi ya beat ikiwemo beat ya mdundo wa "Pale Kati"
Nay wa Mitego na Mr.T Touch
‘Kitu nilichoongea mimi ni kuwa anatumia beat zangu bila kuniambia kwa mfano beat ya Pale Kati ni haki yangu niliandaa mwenyewe yeye akaja akaichukua akaitoa bila kuniambia, kuanzia sasa hivi Nay wa Mitego haruhusiwi kutumia beat zangu’ Amesema Mr Tee Touch

Je unataka kujua jibu la Nay wa Mitego? Bofya Play hapo Chini.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top