Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: OFFICIAL MUSIC VIDEO | KOKORO BY RICH MAVOKO FT DIAMOND PLATNUMZ | WATCH HERE
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Kama kawaida ya WCB Wasafi , kuambatanisha video na audio kwa mpigo, ndicho kilichotokea leo baa...
RICH MAVOKO FT DIAMOND PLATNUMZ - KOKORO
Kama kawaida ya WCB Wasafi, kuambatanisha video na audio kwa mpigo, ndicho kilichotokea leo baada ya Audio ya wimbo mpya wa Rich Mavoko ambao kafanya na Diamond Platnumz “Kokoro” kuachiwa masaa machache yaliyopita.

Hii hapa ni Official Video ya wimbo huo. Nakupa nafasi ya kuitazama kisha niachie maoni yako hapo chini kwenye uwanja wa comments kuhusiana na video hii. Enjoy

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top