Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: OFFICIAL AUDIO MUSIC | DUME SURUALI BY MWANA FA FT VANESSA MDEE | DOWNLOAD/LISTEN
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya kutamba na ngoma ya " Asanteni kwa kuja" na huku tukiwa tunasubiri remix ya...
Mwana Fa - Dume Suruali | Lindiyetu.com
Baada ya kutamba na ngoma ya "Asanteni kwa kuja" na huku tukiwa tunasubiri remix yake, Mwana Fa ameachia ngoma yake mpya ambayo imetolewa leo Novemba 21, wimbo unaitwa “Dume Suruali” amemshirikisha Vee Money.

Dume Suruali ni ngoma ambayo inawaelezea wanaume ambao sio watoaji huduma kwa wapenzi wao yaani ‘Wabahiri’ wanavyochukuliwa au kusemwa na wanawake au wapenzi wao. Isikilize Hapa na Uipakue pia Usiachekutuandikia Maoni yako juu ya Ngoma hii hapa:
**********

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top