Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MASHUTI YANAENDELEA: WANAOJIITA WAKALI WAMKIMBIA DIAMOND PLATNUMZ, CHEKI VIDEO HII HAPA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Ni jana kwenye XXL ya Clouds FM ambapo mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz alikuwa na exclusi...
Ni jana kwenye XXL ya Clouds FM ambapo mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz alikuwa na exclusive interview katika kipindi hicho akiitambulisha ngoma yao mpya ambayo amefanya na Rich Mavoko inayoitwa "Kokoro".
Alikiba, Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz
Interview hiyo ilimake headlines kinoma noma kutokana na Diamond Platnumz kufunguka moja kwa moja bila kuficha ficha kuhusu tofauti za yeye na wasanii wenzake Alikiba na Ommy Dimpoz.

Moja kati ya points kibao ambazo zilizungumzwa jana na mkali huyo hapo jana ni hii hapa ambayo nimeamua kukusogezea kwa muda huu kuhusu wakali hao wenye upinzani mkubwa kuonyesha ukali wao kwenye collabo.

“Kama wewe unajua una fact, njoo studio tufanye kazi. Hao watu wanaosema ni wakali nimesha waomba collabo tufanye wamenikimbia, hao watu wanaosema ni wakali nimesha waomba show tufanye mkali nani wakanikimbia, kama wao wanajiona ni wakali kwanini wananikimbia!?” Alisema Diamond Platnumz.

Play hii video hapa chini kumsikiliza Diamond akifunguka mengi juu ya issue hiyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top