Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: MAPOVU YA BARAKA DA PRINCE DHIDI YA MASHABIKI WAPINZANI
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mkali wa Bongo fleva Baraka Da Prince amewapa makavu mashabiki ambao wanamsakama kwa kumwambia ye...
Mkali wa Bongo fleva Baraka Da Prince amewapa makavu mashabiki ambao wanamsakama kwa kumwambia yeye ni mfuasi wa Alikiba.
Baraka Da Prince
Akiongea na Lindiyetu.com Baraka Da Prince amedai kuwa watu hawajui yeye na Alikiba wametoka wapi na ni jinsi gani wanaishi kiasi kwamba wanakuwa karibu kiasi hicho.

“Alikiba ni miongoni mwa wasanii ambao ni Role Model wangu, Alikiba ni msanii ambaye ameni inspire mimi katika muziki wangu kwahiyo mimi hata kuimba nyimbo yake sioni kama ni kitu cha ajabu. Na ukizingatia ni mtu ambaye nafanya nae kazi katika record label moja kwahiyo ni brother ambaye muda mwingi nipo naye. Ninapo mpresent pale ambapo yeye hayupo sioni kama ni ajabu kwasababu sometimes mimi naenda kwenye show nakutana na fans wa Kiba, kwahiyo nikipiga ngoma yake hata moja inakuwa ni poa.”

Hayo ni machache tu kati ya mengi ambayo Baraka Da Prince amefunguka kuhusiana na watu ambao wanamuita mfuasi wa Alikiba. Play hii video hapa chini kumsikiliza akiongea mengi juu ya suala hilo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top