Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: MANNY PACQUIAO ACHUKUA MKANDA MBELE YA FLOYD MAYWEATHER
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Floyd Mayweather ameona kwani shilingi ngapi akienda kutazama pambano la Manny Pacquiao huko jiji...
Floyd Mayweather ameona kwani shilingi ngapi akienda kutazama pambano la Manny Pacquiao huko jijini Las Vegas na kumpa pongezi.
Manny Pacquiao
Katika Mpambano huo Bondia Pacquiao ameondoka na ushindi katika pambano lake la mkanda wa Welterweight wa WBO kwa kumpiga mpinzani wake Jessie Vargas.
Floyd Mayweather
Baada ya Pacquiao kuchukua ubingwa huo akiwa mbele ya Floyd Mayweather, Mayweather amefunguka na kusema kwamba “Not bad”.
Manny Pacquiao Vs Jessie Vargas
Manny Pacquiao Vs Jessie Vargas
Manny Pacquiao Vs Jessie Vargas

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top