Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MAJALIWA AENDA OFISINI KWAKE DODOMA KWA MGUU (Picha)
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Leo asubuhi ya November 21, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliamua kutembea kwa mguu kutok...
Kassim Majaliwa
Leo asubuhi ya November 21, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliamua kutembea kwa mguu kutoka makazi yake yaliyopo Kilimani hadi Ofisini kwake barabara ya Reli mjini Dodoma.
Kassim Majaliwa
 Pichani, Mheshimwa Majaliwa akilekea Ofisini kwake.
Kassim Majaliwa
 (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)
*************

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top