Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: JENNIFER LOPEZ ATHIBITISHA YEYE BADO NI MOTOO...ATUPIA PICHA TATA MTANDAONI.
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Pop staa Jennifer Lopez Aka J Lo anadhibitisha kuwa ukijitunza unaweza kuwa na muonekano mzuri at...
Pop staa Jennifer Lopez Aka J Lo anadhibitisha kuwa ukijitunza unaweza kuwa na muonekano mzuri ata baada ya kuwa na umri mkubwa.
Jennifer Lopez
Staa huyu wa muziki na filamu ana watoto wawili na ana miaka 47 ila bado anakimbizana na wanamitindo kama Kim Kardashian

Hii post yake imetawali mitandaoni November 4 2016 ikiwa na HashTag #loveyourselffirst.

Kim Kardashian aliwahi kupiga picha kama hii mwaka 2013.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top