Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: HANS VAN PLUIJM AIZUNGUMZIA KADI YAKE NYEKUNDU ALIYOIPATA KATIKA MECHI YA RUVU SHOOTING (+Video)
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mechi ya Yanga SC vs Ruvu Shooting ilimalizika kwa Yanga kuchukua ushindi wa goli 2-1 ambapo koc...
Mechi ya Yanga SC vs Ruvu Shooting ilimalizika kwa Yanga kuchukua ushindi wa goli 2-1 ambapo kocha muholanzi wa Yanga Hans van Pluijm katika mchezo huo alipewa kadi nyekundu na kwenda kukaa jukwaani na baadae hakutaka kuongelea kuhusu kadi hiyo.
Hans van Pluijm
Leo Lindiyetu.com imempata na ameyasema haya yafuatayo,

“Ni kweli jana nilipewa kadi nyekundu na kwa bahati mbaya katika maisha yangu ya soka toka nacheza hadi ukocha sikuwahi kuonyeshwa kadi ya njano au nyekundu na nimeshangazwa sana, nilipomuuliza refa ni kosa gani limefanya nitolewe katika benchi hakutaka kuongea na mimi”

“Lakini baada ya mechi timu meneja wangu alikuja kwangu na kuniambia nimepewa kadi kwa sababu nilimsukuma refa kitu ambacho sio kweli, lakini baada ya mechi nikaenda katika vyumba vya kubadilishia nguo vya marefa ili nimuombe msamaha na nimuulize refa lakini hakutaka kuongea na mimi”

Hebufanya Kuicheki video hii ya mahojiano.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top