Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE :: HOTELI YA KIMBILIO NA ILIYOKUWA KILWA RUINS HOTEL ZATEKETEA KWA MOTO
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Jioni ya leo Imekuwa ni mbaya kwa wakazi na Wamiliki wa Hoteli mbili zilizopo mjini Kilwa Hoteli ...
Hoteli kilwa
Jioni ya leo Imekuwa ni mbaya kwa wakazi na Wamiliki wa Hoteli mbili zilizopo mjini Kilwa Hoteli ya Kimbilio na Iliyokuwa Kilwa Ruins Baada ya Kuteketea kwa Moto.

Hadi sasa chanzo cha moto huo Hakijaweza kujulikana, Pia kukosekana kwa gari la Zimamoto kulisababisha moto huo kushindwa kudhibitiwa na kuweza kuhamia kwenye Nyumba za Jirani na kufanya Uharibiifu wa nyumba hizo pia.
Hoteli kilwa
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI YA TUKIO HILO

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top