Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: BRAND NEW VIDEO MUSIC | MUZIKI BY DARASSA FT BEN POL | WATCH HERE
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya Kutesa na Wimbo wake wa "Too Much" Rapper kutoka 255 Bongo Tz ameachia wimb...
Darassa ft Ben Pol - Muziki
Baada ya Kutesa na Wimbo wake wa "Too Much" Rapper kutoka 255 Bongo Tz ameachia wimbo Mwingine ambao umekwenda sambamba na Utoaji wa Video yake hiyo.
Wimbo unakwenda kwa Jina "MUZIKI" akimshirikisha Ben Pol. Video imefanywa na Muongozaji Hanscana.

Fanya Kuicheki Hapa kisha niachie Maoni yako.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top