Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: BRAND NEW VIDEO MUSIC | DUME SURUALI BY MWANA FA FT VANESSA MDEE | WATCH HERE
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya Kudropisha Audio siku za hivi karibuni, Masaa kadhaa yaliyopita Msanii Mwana Fa ameach...
MwanaFA Featuring Vanessa Mdee - Dume Suruali
Baada ya Kudropisha Audio siku za hivi karibuni, Masaa kadhaa yaliyopita Msanii Mwana Fa ameachia Video ya wimbo wake huo mpya alioupa jina "Dume Suruali" aliomshirikisha Vanessa Mdee

Video hiyo Imetengenezwa na kampuni ya Studio Space Pictures ya South Africa.

Itazame hapa, Usisahau kuniachia Comment hapo chini:

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top