Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: BRAND NEW AUDIO MUSIC || KOKORO BY RICH MAVOKO FT DIAMOND PLATNUMZ | DOWNLOAD/LISTEN
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Tunaweza sema WCB wameamua kuumaliza mwaka vizuri kwa kuachia Hit Nyingine kutoka kwa Kijana wao...
Rich Mavoko Ft Diamond Platnumz-Kokoroko | Lindiyetu.com
Tunaweza sema WCB wameamua kuumaliza mwaka vizuri kwa kuachia Hit Nyingine kutoka kwa Kijana wao Rich Mavoko akiwa amemshirikisha Boss wake Diamond Platnumz Jina la wimbo ni "KOKORO".

Producer wa Ngoma hii ni yule yule Laizer kutoka Wasafi Records, Sitaki nikumalizie Muda wako fanya kuipakua hapa hutojilaumu kutumia Bando lako kuisikiliza nyimbo hii.

Usisahau kuniachia Comments hapo chini:

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top