Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: AUDIO:: RAIS MAGUFULI AONGEA KWA SIMU "LIVE" NA PAUL MAKONDA KWENYE MKUTANO WA HADHARA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amempigia simu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanza...
Paul Makonda
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amempigia simu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kuongea naye ‘live’ akiwa katika mkutano wa ziara yake ya wilaya ya Ubungo ya kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuzitatua.

Makonda alimpigia simu mkuu huyo wa nchi ili kuomba ufafanuzi juu ya changamoto za wananchi wa Ubungo hasahasa kwa wale ambao wanabomolewa nyumba kutoka na utanuzi wa barabara.


SIKILIZA HAPA LIVE BILA CHENGA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top