Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: VIDEO:- USICHOKIJUA KUHUSU JIKESHUPA NA JUMA NATURE
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Zimenyakwa za chini ya kapeti kumuhusu legendary wa game ya Bongo FLeva Juma Kassim Kiroboto almaa...
Zimenyakwa za chini ya kapeti kumuhusu legendary wa game ya Bongo FLeva Juma Kassim Kiroboto almaarufu kama Juma Nature na video queen wa wimbo wa Nuh Mziwanda ambao kafanya na Alikiba “Jikeshupa”.
Jikeshupa na Juma Nature
Inasemekana kuwa wawili hao walikuwa wakitoka kimapenzi kipindi cha nyuma na hadi kufanikiwa kupata mtoto. Mtoto ambaye Jike Shupa alienda kumuacha kwa Juma Nature tangu alipokuwa na umri wa miaka 2.
Jike Shupa
Ubuyu wote upo hapa chini kwenye video hii ambayo Soudy Brown alimpigia simu Jikeshupa na kumtaka aweke wazi juu ya hili. Itazame.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top