Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: VANESSA MDEE NA JUX WAWAACHA MASHABIKI WAO NJIAPANDA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Vanessa Mdee na Jux wameendelea kuwa gumzo kwa takriban wiki moja sasa. Na yote yalitokana na ku...
Vanessa Mdee na Jux wameendelea kuwa gumzo kwa takriban wiki moja sasa. Na yote yalitokana na kutano la Vanessa Mdee na mshindi wa Grammy, Mmarekani Trey Songz hukoo Nairobi kwenye Coke Studio Africa.
Vee na Jux
Pozi zao zilitengeneza headlines Afrika nzima huku watu wakihofia kuwa Jux kanyang’anywa mke! Vee amekanusha vikali tetesi hizo.
Juu
Lakini sasa kupitia akaunti zao za Instagram, wawili hao wanashare picha yenye neno #Juu na kuashiria kuwa huenda ukawa wimbo wao wa kwanza rasmi watakaoutoa wakiwa pamoja. Tangu waanzishe uhusiano, Vee na Jux hawajawahi kuachia wimbo wakiwa pamoja wakiimba.

*********************

VANESSA MDEE NA TREYSONGZ KUJA NA COLLABO YA PAMOJA, VANESSA KANENA HAYA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top