Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: U-HEARD -: SHILOLE KURUDIANA NA NUH MZIWANDA KIMYA KIMYA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Katika Couple za mastaa ambazo zimekiki kinoma noma kibongo bongo ni pamoja na ile ya mwanadada S...
Katika Couple za mastaa ambazo zimekiki kinoma noma kibongo bongo ni pamoja na ile ya mwanadada Shilole na Nuh Mziwanda.
Shilole na Nuh Mziwanda.
Lakini miezi kadhaa iliyopita ziliripotiwa taarifa za kuvunjika kwa mahusiano ya wawili hao. Lakini kama wasemavyo wahenga “Hawara hapewi talaka”, ndivyo inavyosemekana kwa wawili hao kuwa wana mipango ya kurudiana kimya kimya.

Ni kwa mujibu wa Mwakilishi wa Shirika la Wambea Duniani (SHILAWADU) Gossip Cop Soudy Brown ambaye anadai kuwa amezinyaka chatings za wawili hao zikiashiria kabisa kuwa wawili hao wanapanga kurudi katika mahusiano.

Sasa sitaki kukuchosha, ubuyu wote nimekuwekea hapa chini kwenye hii video unaweza kuitazama.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top