Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: U-HEARD -: PENZI LA MADEE LAPAGAWISHA VIMWANA! WAENDEANA KWA SANGOMA ILI KUNYOOSHANA!
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Taarifa za kunyapia nyapia zinasema eti Madee sio mtu wa mchezo mchezo. Ni baada ya kusemekana am...
Taarifa za kunyapia nyapia zinasema eti Madee sio mtu wa mchezo mchezo. Ni baada ya kusemekana amempagawisha shemela wetu Neema hadi kufikia hatua ya kuwaendea kwa wataalam wale woote anaowahisia kuchepuka na kaka etu Madee.
Madee
Unajua umbea nao kipaji eeeh!? Sasa ngoja nikupe nafasi ya kumsikiliza mwenye kipaji chake alichobarikiwa na Mungu Baba Gossip Cop Soudy Brown akudadavulie vizuri ubuyu huo maana sisi wengine tuna-force tu.

Play hii video hapa chini kumsikiliza Soudy Brown alivyopiga story na Madee kuhusu issue hiyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top