Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: ORODHA YA WASHINDI WA TUZO ZA MTV MAMA 2016 HII HAPA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Usiku wa Kuamkia Jumapili ya oktoba 23, 2016 kunako jiji la Johannesburg - South Afric...
Usiku wa Kuamkia Jumapili ya oktoba 23, 2016 kunako jiji la Johannesburg - South Africa hali haikuwa shwari kwa watanzania wapenda muziki kwani hatukuweza kuambulia Tuzo hata moja katika tuzo za MTV MAMA 2016.
wizkid
Tanzania ilikuwa ikiwakilishwa na wasanii Diamond Platnumz, Rayvanny, Vannesa Mdee na Yamoto Band huku Alikiba akiwa kwenye Tuzo ya kushirikishwa na kundi la Kenya Sauti Sol.

Hii ndio List ya Washindi wa tuzo hizo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top