Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: OFFICIAL AUDIO MUSIC || TEKNO - DIANA || ISIKILIZE NA KUIPAKUA HAPA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Wakati number one hit single Pana kutoka msanii Tekno Milles wa Nigeria ikiendelea kufanya viz...
Tekno
Wakati number one hit single Pana kutoka msanii Tekno Milles wa Nigeria ikiendelea kufanya vizuri kwenye chart mbalimbali za muziki, Star huyu ameamua kutowapa pumzi mashabiki wake baada ya kuachia single mpya iliyotayarishwa na maproducer wawili.

Mzigo unaitwa Diana umefanywa kwenye studio za Made Men Music Group chini ya Producer Selebobo na Producer aliyeitayarisha hit single ya Pana, KrizBeatz.

Isikilize hapa.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top