Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: MENEJA WA DIAMOND SALLAM AELEZA KISA CHA KUSHUSHWA KWA ALIKIBA STEJINI, TAZAMA VIDEO HII HAPA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya Hitmaker wa Single ya Aje Msanii alikiba kumtupia lawama Meneja wa Hitmaker wa Single y...
Baada ya Hitmaker wa Single ya Aje Msanii alikiba kumtupia lawama Meneja wa Hitmaker wa Single ya "Salome" Diamond Platnumz Kumdhania kuhusika na kukatishwa kwa Show yake aliyoifanya mjini Mombasa katika Tamasha la Mombasa Roks, Sallam a.k.a Mendez amejibu tuhuma hizo.
Sallam a.k.a Mendez
Hapo awali Alikiba alitoa kauli hii: “Nilimuona meneja wake Diamond alikuwepo pale, anafuata nini backstage wakati mimi naperform, yeye anahusika kama nani? Haileti picha nzuri. Kwasababu hata kama watu wanafikiria kwamba of course hatuna beef lakini sasa umefuata nini na vitu kama hivyo vinahappen, wewe unafikiria watu watafikiria nini? Kitu gani kimemfanya aje? Kuna watu wengi waliokaa kwenye VIP unaweza ukaangalia show, kuja kwenye show, kaa kwenye VIP, angalia show. But alikuwa anafanya nini backstage wakati mimi naperform?”

Baada ya lawama hizo Meneja huyo amezungumza na mtangazaji wa kipindi cha Mambo Mseto kupitia radio Citizen ya kenya, Willy Tuva amekanusha jambo hilo kulifanya na kusema kuwa kilichomfanya awepo kwenye show hiyo ni kazi yake ya umeneja kwani alikwenda kufanya connection zingine kwa wasanii ambao walikuwa ni main wa show hiyo ambao ni Wizkid pamoja na Criss Brown pia watu wajue kuwa Meneja anayesimamia kazi za msanii Diamond Platnumz kwa West Africa ni Mr. Sande ambaye pia ni meneja wa Wizkid, Pia kama meneja anajifundisha mambo mengi ki Internationaly zaidi na ndio mana alikuwepo katika show hiyo na kuweza kuwepo backstage.

Hebu angalia Video hii hapa ya Mahojiano yote.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top