Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: MCHEKI DIAMOND PLATNUMZ AKISHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE AKIWA NA BOXER (+VIDEO)
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Jumamosi hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya staa wa muziki, Diamond Platnumz ikiwa ni wiki moja t...
Jumamosi hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya staa wa muziki, Diamond Platnumz ikiwa ni wiki moja toka atoke visiwani Zanzibar kusherekea birthday ya mama watoto wake, Zari.
Diamond Platnumz
Muimbaji huyo alikata keki mbele ya wasanii wake wa WCB huku akiwaacha midomo wazi mashabiki wake wa kwenye mitandao jamii kwa kitendo cha kusherekea birthday hiyo huku akiwa na nguo ya ndani ‘boxer’ akidai alikuwa anaogopa kumwagiwa maji.

ANGALIA VIDEO HII HAPA:

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top