Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MATOKEO EPL:: LIVERPOOL YAINYUKA SWANSEA 2-1
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Liverpool Leo wametoka nyuma kwa Bao 1 na kufunga Bao 2 na kuzoa ushindi wa 2-1 huko Libert Stadi...
Liverpool Leo wametoka nyuma kwa Bao 1 na kufunga Bao 2 na kuzoa ushindi wa 2-1 huko Libert Stadium walipocheza Mechi ya EPL, Ligi Kuu England, na Swansea City.
Liverpool
Swansea. ambao Meneja wao Francesco Guidolin yupo hatarini kutimuliwa kutokana na mwendo mbovu, walitangulia kufunga kwa Bao la Leroy Fer la Dakika ya 8.
Swansea
Hadi Mapumziko Swansea 1 Liverpool 0.

Kipindi cha Pili Firmino aliisawazishia Liverpool Dakika ya 54 na Bao la Pili kufungwa na James Milner kwa Penati ya Dakika ya 84.
Liverpool
Ushindi huu umewaweka Liverpool Nafasi ya Pili wakiwa wakiwa Pointi 2 nyuma ya Vinara Man City waliocheza Mechi 1 pungufu.

VIKOSI:Swansea: Fabianski; Rangel, van der Hoorn, Amat, Naughton; Fer, Cork, Britton; Routledge, Borja, Sigurdsson.
Akiba: Nordfeldt, Mawson, Taylor, Fulton, Ki, Barrow, McBurnie.

Liverpool: Karius; Clyne, Lovren, Matip, Milner; Lallana, Henderson, Wijnaldum; Mane, Firmino, Coutinho.
Akiba: Mignolet, Sturridge, Klavan, Moreno, Lucas, Can, Origi
REFA: Michael Oliver
****************************

DIAMOND PLATNUMZ ATUPA DONGO KWA WEMA, HAMISA, ALIKIBA NA MR BLUE CHEKI VIDEO HII HAPA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top