Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: KILICHOWAFURAHISHA WATU KATIKA HUTUBA YA RAIS MAGUFURI WAKATI WA KUAGA MWILI WA DR. MASABURI (+VIDEO)
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Rais John Magufuli ameongoza wananchi wa jiji la Dar es salaam kuuaga mwili wa aliyekuwa meya wa ...
Rais John Magufuli ameongoza wananchi wa jiji la Dar es salaam kuuaga mwili wa aliyekuwa meya wa jiji hilo Dk. Didas Masaburi aliyefariki October 12 2016.
Rais John Magufuli
Baada ya msomaji wa wasifu wa Dk. Masaburi kutaja kuwa marehemu ameacha mke mmoja, Rais Magufuli alipata nafasi ya kuzungumza na kusema anafahamu Dk. Masaburi alikuwa na wake wanne au watano na hata watoto anafahamu kuwa anao zaidi ya 20, aidha Rais Magufuli amewaomba watoto wa marehemu kushikamana na kuwa wamoja, unaweza kuangalia video hii hapa chini……

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top