Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: KESI YA MTOBOA MACHO (SCORPION) YAHAMISHIWA MAHAKAMA KUU
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Kesi inayomkabili Salum Njwete maarufu kama Scorpion , imeondolewa katika mahakama ya wilaya ya I...
Kesi inayomkabili Salum Njwete maarufu kama Scorpion, imeondolewa katika mahakama ya wilaya ya Ilala na kuhamishiwa mahakama kuu jijini Dar es salaam.
Scorpion
Hatua hiyo imekuja kutokana na kuwasilishwa ombi katika mahakama hiyo na wakala wa upande wa mashtaka Munde Kalombora na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Adelf Sachore kuridhia.

Njwele anakabiliwa na shtaka la unyanga’nyi na kumjeruhi Said Ally Mrisho baadhi ya sehemu zake za mwili huku akimsababishia kijana huyo upofu.

BY: EMMY MWAIPOPO

*************

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top