Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: ITAZAME VIDEO JINSI DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOMKABIDHI SAIDI TSH MILIONI 2
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Asubuhi ya leo katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm alikuwepo kijana Said, kijana ambaye tukio...
Asubuhi ya leo katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm alikuwepo kijana Said, kijana ambaye tukio alilofanyiwa limewagusa wengi baada ya kutobolewa macho na kijana ajulikanae kama Scorpion.
Said
Diamond Platnumz ni mmoja kati ya walioguswa vilivyo na tukio hilo, na hakuona vibaya kujisogeza katika ofisi za Clouds Fm asubuhi ya leo ili kukutana na kijana huyo na kuweza kumchangia chochote kidogo alichonacho.

Diamond Platnumz alitoa Tsh. Millioni 2 taslim na kumkabidhi kijana Said kama msaada wake kwa kijana huyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top