Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: IJUE RATIBA YA MECHI ZA VODACOM PREMIER LEAGUE JUMAMOSI HII
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Ligi ya Vodacom itaendelea wikiendi hii kwa kuzikutanisha Timu Sita katika Viwanja Tofauti Tofauti...
Ligi ya Vodacom itaendelea wikiendi hii kwa kuzikutanisha Timu Sita katika Viwanja Tofauti Tofauti.
Simba Sc wakiwa wanaongoza ligi hiyo watakuwa wenyeji wa Kagera Sugar katika Uwanja wa Uhuru jijini dar es Salaam huku Mtibwa Sugar baada ya kupokea Kichapo kutoka kwa Yanga Jumatano hii atawakaribisha Tanzania Prison pale katika uwanja wa Manungu. Na Toto Africa atakuwa mwenyeji wa Maji maji Fc ya Songea kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Ratiba ya VPL
Mecho zote Zitarushwa na kituo cha Televisheni cha AZAM

MSIMAMO WA LIGI ULIVYO HIVI SASA.
Msimamo wa Ligi
************

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top