Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: ICHEKI SERIES MPYA FUPI YA ALEX KUTOKA KWA DIRECTOR NISHER, IKO HAPA SEHEMU YA 1 & 2
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya kukaa kimya kwa miezi kadhaa, muongozaji wa video wa Arusha, Nisher amerejea tena kazi...
Alex Series
Baada ya kukaa kimya kwa miezi kadhaa, muongozaji wa video wa Arusha, Nisher amerejea tena kazini na awamu hii akiwa na camera mpya aliyoinunua kwa $15,000.
Alex Series
Ili kuhakikisha kuwa anatoa video zenye kiwango zaidi, amekuwa akiijaribu kamera hiyo kwa kufanya series fupi aliyoipa jina Alex. 

Hizi ni sehemu za series hiyo.


About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top