Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: DIAMOND, HARMONIZE NA DJ D OMMY WANYAKUA TUZO ZA AFRIMMA, ORODHA KAMILI HII HAPA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Tuzo za AFRIMMA zimeshatolewa na kama kawaida muziki wa Bongo fleva umepenya tena na kuiwakilisha...
Tuzo za AFRIMMA zimeshatolewa na kama kawaida muziki wa Bongo fleva umepenya tena na kuiwakilisha Bongo vilivyo kupitia Harmonize, Diamond platnumz na Dj D Ommy kutoka CloudsFM.
Afrimma Awards
AFRIMMA ni tuzo ambazo hutolewa kila mwaka kwa Wasanii wa Afrika ambao wamefanya vizuri, Dallas Texas Marekani ndipo tuzo hizo zilitolewa na Watanzania tukawakilishwa vizuri na Dj D Ommy,Harmonize na Diamond kwa kurudi na tuzo nyumbani.

Kibongo Bongo Dj D Ommy wa CloudsFM alishinda tuzo ya Dj bora Afrika, Harmonize tuzo ya msanii bora chipukizi Afrika 2016 na Diamond Platnumz akanyakua ya msanii bora wa kiume Afrika Mashariki.

Kwa upande wa ndugu zetu Kenya, Kundi la Sautisol wameshinda tuzo ya kundi bora la muziki Afrika. Akothee ameshinda Msanii bora wa kike Afrika Mashariki na Willy Paul ameshinda tuzo ya Best Gospel Act

FULL LIST WINNERS AFRIMMA 2016:

Best Male West Africa – Olamide (Nigeria)
Best Female West Africa – Efya
Best Male North Africa – Amr Diab
Best Female North Africa – Ibtissam
Best African DJ USA – Dj Dee Money
Best Dj Africa - DJ D OMMY
Best Male Central Africa – C4 Pedro
AFRIMMA Video of the year – Brother brother Bisa Kdei
Best Female Central Africa – Daphne
Music Producer of the year – Masterkraft
Best male South Africa – AKA
Best Female Southern Africa – Chikune
Best Rap Act – Phyno (Nigeria)
Best African Group – Sauti Sol (Kenya)
Best collaboration – Reggae blues ( Harrysong, Kcee) Nigeria
Crossing boundaries with Music – Wizkid (Nigeria)
Song of the year – Tecno Duro (Nigeria)
Best Gospel Act – Willy Paul (Kenya)
Best Male East Africa – Diamond Platnumz ( Tanzania)
Artist of the year – Flavour ( Nigeria)
Best Newcomer – Harmonize (Tanzania)
Best Dancehall Act – Shatta Wale
Best Video Director – Patrick Elis
Carribean Artist of the year – Machel Montano
****************

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top