Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: CHURA WA SNURA ATOKA KIFUNGONI SASA KUANZA KUTAMBA KITAANI.
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemruhusu msanii wa muziki, Snura Ant...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemruhusu msanii wa muziki, Snura Anthony Mushi ‘Snura’ kuachia video yake mpya ya wimbo ‘Chura’ baada ya msanii huyo kufanya marekebisho ya video ya wimbo huo na kukubaliwa na wizara.

Aidha, katika barua ya wizara imemtaka Snura kuomba radhi mbele ya waandishi wa habari ili video hiyo ianze kuchezwa.


Mapema mwaka huu video ya wimbo huo ulitangazwa kufungiwa na serikali baada ya video hiyo kukosa maadili ya kitanzania.
********************
HIVI NDIVYO WOLPER ALIVYOSHEREHEKEA BIRTHDAY YA HARMONIZE CHUMBANI KWAKE

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top