Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: CHAMA CHA WAMBEA DUNIANI (SHILAWADU) CHA JIBU MAPIGO BAADA YA MATUSI YA WOLPER, TAZAMA VIDEO
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Siku ya Jumamosi ya tarehe 15/10/2016 haikuwa nzuri hata kidogo kwa Msanii wa Filamu hapa nchini J...
Siku ya Jumamosi ya tarehe 15/10/2016 haikuwa nzuri hata kidogo kwa Msanii wa Filamu hapa nchini Jackline Wolper kwa kupokea Mchambo kutoka kwa Chama cha wa mbea Duniani (SHILAWADU) kupitia kituo cha Televishen cha CLOUDS TV.
Katika Kipindi hicho ambacho kinatangazwa na watangazaji machachari Soudy Brown na Qwhisar Thomson, walionyesha kukerwa na Video iliyosambaa mtandaoni ya Wolper ikimuonyesha kutoa povu baada ya watangazaji hao kumlinganisha Mpenzi wake Harmonize na Rayvanny katika kazi zao za muziki.
Video hiyo ilisikika sauti ya Wolper ikitoa matusi na sio matusi tu na kauli za kejeli kwa watangazaji hao, Hapo ndipo moto ulipowaka na kama uwajuavyo SHILAWADU huwa hawashindwi. Wakaanza kumchambua kama Karanga WOLPER.

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top