Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: BRAND NEW VIDEO MUSIC || SHILOLE FT MANFONGO - MTOTO MDOGO MDOGO || WATCH HERE
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Ni zaidi ya wiki 8 zimepita sasa tangu ilipoachiwa Audio ya ngoma ya “Mtoto Mdogo Mdogo” ya mwan...
Ni zaidi ya wiki 8 zimepita sasa tangu ilipoachiwa Audio ya ngoma ya “Mtoto Mdogo Mdogo” ya mwanadada Shilole-Shishi Baby ambayo kafanya na mkali wa Singeli Man Fongo.
Shilole ft Man Fongo - Mtoto Mdogo Mdogo
Na ikafanya poa kiasi chake hadi kufanikiwa kuingia katika chati mbali mbali za muziki katika media tofauti tofauti.

Sasa Nakualika kuitazama Video ya wimbo huo ambayo imefanywa na Director wa hapa hapa Bongo Khalfani Khalmandro.

Bofya Play.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top