Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: BRAND NEW AUDIO MUSIC || NEDY MUSIC FT MR. BLUE - SI HALALI || DOWNLOAD/LISTEN
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Nedy Music ndio underground pekee ambaye anakichafua kinomanoma kwenye TV za kimataifa kama Trace...
Nedy Music ndio underground pekee ambaye anakichafua kinomanoma kwenye TV za kimataifa kama Trace, Sound City na nyinginezo kwa ngoma yake ya “Usiende mbali” ambayo kafanya na Ommy Dimpoz.
Nedy Music ft Mr. Blue - Si Halali
Ngoma hiyo imewahi kushika hadi namba 1 katika chati mbalimbali za muziki za TV hizo. Leo tumeinyaka Audio hii yakwake mpya ambayo kafanya na Mr Blue. Inaitwa “Si Halali” na una kila sababu ya kuisikiliza.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top