Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: ALIKIBA NA VANESSA MDEE JUKWAA MOJA NA STAA HUYU WA MAREKANI WEEKEND HII HAPA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Alikiba na Vanessa Mdee watapanda jukwaa moja na nyota wa muziki wa RnB nchini Marekani, Chris ...
Alikiba na Vanessa Mdee watapanda jukwaa moja na nyota wa muziki wa RnB nchini Marekani, Chris Brown.
Alikiba na Vanessa Mdee
Wawili hao watatumbuiza pamoja na Chris Brown, Oktoba 8, mwaka huu kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music.

Vanessa
“Mombasaaaaaa it’s ME N U this weekend. @mombasarocksfestival #Juu #Niroge,” ameandika Vanessa kwenye Instagram.

Nyota wa Nigeria, Wizkid naye atatumbuiza kwenye tamasha hilo kubwa.
********************
TAZAMA SHOW YA DIAMOND MOMBASA KENYA ALIVYOKUSANYA KIJIJI CHAKE

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top