Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: ZIFAHAMU RATIBA ZA MECHI ZA LEO JUMAPILI YA TAREHE 11/9/2016 LIGI KUU KUBWA ULAYA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya hapo jana katika ligi kuu nchini England kupigwa michezo 8 katika viwanja tofauti, leo ...
Ligi mbalimbali Ulaya
Baada ya hapo jana katika ligi kuu nchini England kupigwa michezo 8 katika viwanja tofauti, leo katika ligi hiyo kuna mchezo mmoja tu.

Mchezo wa leo ni kati ya Swansea City vs Chelsea ambao utachezwa mnamo saa 12:00 Jioni kwa masaa ya Afrika Mashariki.


RATIBA ZA LIGI NYINGINEZO LEO HII
ITALIAN SERIE A
Bologna vs Cagliari (Saa 7:30 Mchana)
AC Milan vs Udinese (Saa 10:00 Jioni)
Atalanta vs Torino (Saa 10:00 Jioni)
Chievo Verona vs Lazio (Saa 10:00 Jioni)
Genoa vsFiorentina (Saa 10:00 Jioni)
Roma vs Sampdoria (Saa 10:00 Jioni)
PEscara vs Inter (Saa 3:45 Usiku)

SPANISH LA LIGA
Sporting Gijon vs Leganes (Saa 7:00 Mchana)
Valencia vs Real Betis (Saa 11:00 Jioni)
Granada vs Eibar (Saa 1:15 usiku)
Deportivo La Coruna vsAthletic Bilbao (Saa 3:30 Usiku)

GERMANY BUNDESLIGA

Werder Bremen vsAugsburg (Saa 10:30 Jioni)
Mainz 05 vs Hoffenheim (Saa 12:30 Jioni)

FRENCH LEAGUE 1
Nantes vs metz (Saa 10:00 Jioni)
Rennes vs Caen (Saa 12:00 Jioni)
Nice vs Marseille (Saa 3:45 Usiku)
_________________________________________

BIRTHDAY YA MAJIZO MABUSU NJE NJE NA MREMBO LULU, CHEKI VIDEO HII HAPA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top