Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: WAYNE ROONEY ATEMWA KWENYE KIKOSI CHA EUROPA LEAGUE ALHAMISI HII
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Jose Mourinho amemuacha Nahodha wake Wayne Rooney kwenye Kikosi cha wachezaji 20 kilichoenda ...
Jose Mourinho
Jose Mourinho amemuacha Nahodha wake Wayne Rooney kwenye Kikosi cha wachezaji 20 kilichoenda kuvaana na Fayenoord alhamisi hii kwenye Europa League hatua ya makundi.

Wachezaji wengine walioachwa ni Henrikh Mkhitaryan na Jesse Lingard , wengine ni Luke Shaw na Valencia, Hata Hivyo uamuzi wa Mourinho unakuja ikiwa ni siku kadhaa toka atangaze Kumwanzisha Kinda Rashford katika kikosi chake cha Kwanza kitakachoanza dhidi ya Fayenoord.

Wachezaji wa Manchester Waliosafiri kwa ajili ya Europa ni hawa

De Gea, Romero, Johnstone; Darmian, Bailly, Blind, Fosu-Mensah, Rojo, Smalling; Carrick, Fellaini, Herrera, Mata, Memphis, Pogba, Schneiderlin, Young; Ibrahimovic, Martial, Rashford 
_________________________________________

BIRTHDAY YA MAJIZO MABUSU NJE NJE NA MREMBO LULU, CHEKI VIDEO HII HAPA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top