Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: VANESSA MDEE NA TREYSONGZ KUJA NA COLLABO YA PAMOJA, VANESSA KANENA HAYA (+Video)
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Ni Headlines za Vanessa Mdee ambae amekuwa ni moja kati ya wasanii wa Africa waliochaguliwa kureko...
Ni Headlines za Vanessa Mdee ambae amekuwa ni moja kati ya wasanii wa Africa waliochaguliwa kurekodi wimbo na mshindi wa Grammy na mwimbaji wa RNB nchini Marekani, Trey Songz kupitia msimu wa 4 kipindi cha Coke Studio Africa.
Vanessa Mdee na Trey Songz
Akizungumza na lindiyetu.com Vanessa Mdee aliyaongea haya, "Niko Kenya nikifanya msimu wa Coke Studio Africa ambapo msimu huu tumemkaribisha msanii wa kimarekani Trey Songz kuja kufanya collaboration na waafrika nikiwemo na mimi"

"Ni experience ya kipekee sana nimefuraha sana kuwa katika nafasi hii ya kufanya collabo nae kwani ni hatua nzuri kwangu pia kuitangaza nchini yangu"


Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Vanessa Mdee akielezea collabo yake na Trey Songz.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top