Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: ULEMAVU USIKUFANYE UKAKATA TAMAA...MCHEKI MDADA HUYU KWENYE HII VIDEO AKIKATA MAUNO WIMBO WA YEMI ALADE
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mhh jamani inafurahisha sana kumuona mdada akiwa ni mlemavu wa mguu mmoja lakini akifurahia uche...
NIE
Mhh jamani inafurahisha sana kumuona mdada akiwa ni mlemavu wa mguu mmoja lakini akifurahia uchezaji wake inaonesha ni kitu ambacho yeye binafsi anakipenda.

Kuwa mremavu hakukuzuii wewe ushindwe kufurahi katika maisha ya kila siku, Unaweza kutimiza ndoto zako katika kile kitu unachokipenda kwa kujituma zaidi.

Na ukiwa mzima mshukuru mwenyezi Mungu kwa kuku umba hivyo ulivyo cha msingi tuwajali na kuwapenda wenzetu kwa kuungana nao katika shughuli mbalimbali awe mlemavu wa ngozi na wengineo tuisiwatenge.

VIDEO HII HAPA CHINI NIMEKUWEKEA MTAZAME ALIVYOCHEZA.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top