Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: TAZAMA PICHA ZA ZIARA YA WASANII KWENYE KABURI LA ALBERT MANGWEA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Ikiwa ni Muendelezo wa Tamasha la Fiesta linalo wakutanisha wasanii wakali nchini Tanzania na kuz...
wasanii katika Kaburi la Mangwea
Ikiwa ni Muendelezo wa Tamasha la Fiesta linalo wakutanisha wasanii wakali nchini Tanzania na kuzunguka Mikoa mbalimbali hapa nchini, leo ni zamu ya Morogoro ambapo wasanii na uongozi wa Clouds Media Group wametembelea kaburi la aliyekuwa mkali wa ‘Free Style’ michano Albert Mangwea.

Akizungumza kwa Niaba ya Clouds Media Group Sebastian Maganga ameeleza kuwa lengo la kudhuru kaburi hilo ni kukumbuka mchango wa msanii huyo kwenye Tasnia ya Muziki.
wasanii katika Kaburi la Mangwea
Ambapo Mama Mzazi wa Msanii huyo amefurahishwa na ujio huo na kuwaombea dua wasanii hao na uongozi wa Clouds Media Group wafanikiwe katika shughuli wanazo zifanya.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top