Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: TAZAMA PICHA YA ZARI AKISHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE VISIWANI ZANZIBAR NA FAMILIA YAKE
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Zari The Bosslady amesherehekea siku yake ya kuzaliwa Ijumaa hii akiwa visiwani Zanzibar akiwa ...
Zari The Bosslady Birthday Party
Zari The Bosslady amesherehekea siku yake ya kuzaliwa Ijumaa hii akiwa visiwani Zanzibar akiwa na mpenzi wake Diamond na watu wao wa karibu.
Zari The Bosslady Birthday Party
Sherehe hiyo ilihudhuriwa Mose Iyobo, Aunty Ezekiel, na watu wengine wa karibu wa familia hiyo.
Zari The Bosslady Birthday Party
Kwenye sherehe hiyo pia waliongozana na mtoto wao Princes Tiffah.
Zari The Bosslady Birthday Party

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top