Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: #TANZIA, KOCHA JAMES SIANG'A AFARIKI DUNIA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Kocha James Siang'a amefariki asubuhi hii Kocha Siang'a amewahi kuzifundisha vilabu vy...
James Siang'a
Kocha James Siang'a amefariki asubuhi hii
Kocha Siang'a amewahi kuzifundisha vilabu vya Uganda, Kenya Na Tanzania.

James Siang'a , ambaye zamani aliichezea Gor Mahia na timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars kama kipa atakumbukwa na mashabiki wengi wa soka kwa kuwa mmoja wa wachezaji walioiletea heshima na mafanikio makubwa nchi ya kenya. Yeye ni miongoni mwa walioifikisha kenya katika fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika mnamo mwaka 1972.

Nchini Tanzania kocha huyo atakumbukwa kwa mafanikio makubwa mnamo mwaka 2003 alipoisaidia Simba kuwafunga Zamalek.

R.I.P JAMES SIANG'A

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top