Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: SURPRISE YA ALI KIBA SHOW YA DIAMOND MOMBASA, UONGOZI WA DIAMOND PLATNUMZ WATOA MAPOVU HAYA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Unakumbuka Fiesta Mwanza wasanii wote waliotakiwa kutumbuiza walitangazwa ila kuna msanii mmoja...
alikiba
Unakumbuka Fiesta Mwanza wasanii wote waliotakiwa kutumbuiza walitangazwa ila kuna msanii mmoja alitumbuiza kama Bonus au Surprise?


Hali hiyo imejitokeza tena mjini Mombasa, Katika Show hiyo ambayo chama cha ODM kilitangaza Diamond atatumbuiza lakini baada ya show yake Msanii Alikiba alipanda kutumbuiza.

Baada ya Tukio hilo Uongozi wa Msanii Diamond umeamua kurusha dogo upande wa pili kama ifuatavyo:
sallam post
sallam post

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top